Monday, June 1, 2015

Unatazamia tanzania ipi 2020?



Je wewe unatazamia Tanzania ipi ifikapo 2020?
Mawazo yako yatafanyika changamoto ili kuchagua kiongozi bora…
Ungependa kuweka fikra hadharani?
Tuma mawazo yako pamoja na picha yako au yoyote kupitia
whats app +255714041432 au inbox           


Mimi Asanteyawe natazamia 2020 itakapofika……
Tanzania iendelee kuwa na Amani, upatikanaji wa ajira. Huduma za Afya, Maji, na Nishati ziwe rahisi

No comments:

Post a Comment