Je wewe unatazamia Tanzania ipi ifikapo 2020?
Mawazo yako yatafanyika changamoto ili kuchagua kiongozi bora…
Ungependa kuweka fikra hadharani?
Tuma mawazo yako pamoja na picha yako au yoyote kupitia
whats app +255714041432 au inbox
Mimi Asanteyawe natazamia 2020 itakapofika……
Tanzania iendelee kuwa na
Amani, upatikanaji wa ajira. Huduma za Afya, Maji, na Nishati ziwe rahisi