Tumeyasikia matukio ya kutisha yakivuruga amani ya nchi jirani ya Kenya kama shambulio la kigaidi linalosadikika kufanywa na Al-shabaab katika jengo la Westgate Mall Kenya na sisi Watanzania tuwe makini kutambua watu na mambo ambayo yanaweza kujitokeza tunapokuwa katika mahali husika hasa katika majengo makubwa na kuwahi kuyaripoti mapema kwenye vyombo husika mapema
... "PEACE AND LOVE TANZANIANS"
No comments:
Post a Comment